23.8 C
Dar es Salaam
Sunday, October 13, 2024

Contact us: [email protected]

Damian Soul ampa ufalme Ben Poul

Glory Mlay

MKALI wa muziki wa Soul, Damian Soul, amesema msanii wa muziki wa RnB nchini, Ben Poul anastahili kuwa mfalme wa muziki huo.

Damian Soul amedai Ben Paul anautendea haki muziki wa RnB nchini kutokana na ubora mashairi yake.

“Kwa hapa nchini naweza kusema Ben Paul ndiye mfalme wa muziki wa RnB japo muziki wetu nio Afro, anaweza na anajua nini anafanya kwa mashabiki wake, sio mtu wa kukurupuka.

“Nyimbo zake nyingi zina ujumbe, anatumia muda mwingi kuandaa nyimbo ndio maana ikitoka inakonga nyoyo za watu, natamani siku moja nifanye nae kazi,” alisema.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles