27.8 C
Dar es Salaam
Monday, December 6, 2021

Common, Serena Williams wakutana

NEW YORK, MAREKANI

STAA wa muziki na filamu nchini Marekani, Lonnie Lynn maarufu kwa jina la Common, mapema wiki hii alikutana na aliyekuwa mpenzi wake mkali wa mchezo wa tenisi, Serena Williams, kwa mara ya kwanza.

Wawili hao walikutana kwenye kipindi cha Creative Minds Talks, ambapo walionekana kuwa na furaha kama bado wapo kwenye uhusiano.

Mastaa hao walikuwa kwenye uhusiano kuanzia mwaka 2007 hadi 2010, lakini baada ya kuachana Serena alifanikiwa kupata mume mwingine, Alexis Ohanian na kupata mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja sasa, Alexis Olympia Ohanian Jr.

Serena alitumia ukurasa wake wa Instagram na kuwaaminisha mashabiki kwamba, kuachana na mpenzi wako si tatizo.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
168,340FollowersFollow
527,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles