BOBI WINE AWEKWA ICU MAREKANI

0
1022

Marekani


Mwanamuziki na Mbunge wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, amepelekwa kwenye chumba cha uangalizi maalumu (ICU) katika hospitali anayotibiwa nchini Marekani.

Taarifa ya daktari imeeleza kwamba Bobi Wine, amepata majeraha ya ndani yanayosababisha kuvuja damu ndani ya mwili wake. Lakini pia inaonekana alichomwa sindano ya sumu pindi alipokuwa kizuizini.

Bobi Wine, aliondoka Agosti, 31 nchini Uganda, kuelekea Marekani, kwa matibabu zaidi baada ya serikali kutumia kikosi cha madaktari tisa kuchunguza hali yake. Huku maafisa wa polisi wakithibitisha ruhusa yake ya kuondoka nchini.

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here