28.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, June 6, 2023

Contact us: [email protected]

Biggy Sound awaangukia mashabiki kuhusu ‘Siyazphuzela’

Durban, Afrika Kusini

Msanii wa kizazi kipya anayekuja kwa kasi kutoka Afrika Kusini, Biggy Sound amewaangukia mashabiki kwa kuwapa shukurani za mapokezi ya wimbo wake, Siyazphuzela.

Biggy Sound mwenye asili ya Burundi ameiambia www.mtanzania.co.tz kuwa ndani ya ngoma hiyo amechanganya vionjo vya asili ya kibantu ili kuleta ladha mpya kwa mashabiki.

“Nikiwa kama King of Durban nilikuwa kimya kwenye muziki sababu ya biashara yangu ya Biggy Sound Saloon na sasa nimerudi na Siyazphuzela ambao tayari upo kwenye chaneli yangu ya YouTube hivyo naomba sapoti yao,” amesema Biggy Sound.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,307FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles