25.3 C
Dar es Salaam
Tuesday, November 29, 2022

Contact us: [email protected]

Baraka The Prince awasamehe Ali Kiba, Seven Mosha

 GLORY MLAY-DAR ES SALAAM 

MSANII wa bongo fleva, Baraka The Prince, amesema amewasamehe Ali Kiba na meneja wake wa zamani wa Rockstar, Seven Mosha, kwa kudai kuwa hawawezi kumlipa kwa kile walichomfanyia. 

Akizungumza na MTANZANIA jana, Baraka The Prince, alisema ameamua kusamehe, kusahau na kutofuatilia yaliyotokea japo anaamini waajiri wake wa zamani bado wana kinyongo naye. 

“Naomba tufunge mjadala wa Ali Kiba na Seven Mosha, sina noma na mtu yeyote labda wao ndiyo wana noma na mimi. 

“Maana hawawezi kuwa na pesa ya kunilipa kwenye kipaji changu kama nikiamua kufuatilia kutokana na dhuluma na vitu vyote walivyonifanyia,” alisema msanii huyo. 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
205,444FollowersFollow
558,000SubscribersSubscribe

Latest Articles