Usahili East Africa Got Talent kufanyika Mei 21

0
847

SHINDANO  la kusaka vipaji mbalimbali, Afrika Mashariki, East Africa Got Talent, linaratajia kufanya usahili wake nchini Mei 21 mwaka huu baada ya kuzinduliwa mapema wiki hii Nairobi, Kenya na Dar es Salaam, Tanzania.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa shindano hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media, Joseph Kusaga alisema :

“Washiriki wa EAGT watapatikana katika nchi nne yaani Kenya, Tanzania, Uganda na Rwanda lakini fainali zitakuwa Kenya, sisi Clouds tuliwasiliana na serikali yetu juu ya uwezekano wa kufanya fainali hizo hapa nyumbani lakini kulikuwa na sababu za msingi kuipeleka Kenya moja ikiwa miundombinu inayoruhusu uzalishaji wa tukio kubwa kwa viwango.”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here