APATA UZIO WAN MAJI MARA BAADA YA KUJINGUA

  HASSAN DAUDI NA MITANDAO                 |              LICHA ya kwamba inaweza kuonekana kuwa ni simulizi ya kusisimua, ukweli ni kwamba haya ndiyo maisha halisi ya bibiye Cherelle Farrugia, mkazi wa mjini Cradiff, Wales. Baada ya kujifungua Januari, mwaka huu, mwanamke huyo amejikuta akiishi maisha magumu baada ya kupata uzio More...

by Mtanzania Digital | Published 2 weeks ago
By Mtanzania Digital On Friday, June 8th, 2018
Maoni 0

WASEMAJI TAASISI ZA SERIKALI BADILIKENI

Na LEONARD MANG’OHA MCHANGO wa wataalamu wa kada mbalimbali umekuwa ukitegemewa na jamii katika kutatua changamoto mbalimbali inayozikabili kwa wakati husika na hata kwa siku za baadaye. Mathalani, madaktari More...

By Mtanzania Digital On Friday, June 8th, 2018
Maoni 0

WATOTO WENYE ULEMAVU WASIDHARAULIWE, WASOMESHWE

Na CHRISTINA GAULUHANGA IMEKUWA tabia kwa baadhi ya wazazi au walezi wengi kuwaficha, kuwaua na kushindwa kuwapeleka shule watoto wao wenye ulemavu kwa sababu ya maumbile waliyonayo. Hali hiyo imechangia kundi More...

By Mtanzania Digital On Friday, June 8th, 2018
Maoni 0

SERIKALI YAANZA UCHUNGUZI SAKATA LA MWANAMKE ALIYEJIFUNGULIA KITUO CHA POLISI

Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali imesema imefungua jalada la uchunguzi kuhusu mwanamke aliyejifungua sakafuni katika kituo cha polisi Mang’ula wilayani Kilombero katika Mkoa wa Morogoro,  Amina Mapunda. Soma More...

By Mtanzania Digital On Friday, June 8th, 2018
Maoni 0

USAFIRI WA MWENDOKASI KUSUKWA UPYA (5)

Jinsi mabasi yanavyoondolewa kwenye ruti kijanja Na BAKARI KIMWANGA – DAR ES SALAAM USAFIRI wa mabasi ya mwendokasi, umekuwa ukibeba abiria wengi katika jijini la Dar es Salaam huku changamoto ya uchache More...

By Mtanzania Digital On Friday, June 8th, 2018
Maoni 0

VIGOGO BOT KUHOJIWA LEO

Na ELIZABETH  HOMBO – DODOMA SIKU chache baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kuagiza Kamati ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC), kukutana na bodi ya menejimenti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT),  More...

By Mtanzania Digital On Friday, June 8th, 2018
Maoni 0

ONGEZEKO LA TAKA ZA PLASTIKI KUPUNGUZA SAMAKI BAHARINI

Veronica Romwald, Dar es Salaam            | Wakati dunia inaadhimisha Siku ya Bahari leo, Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Mazingira (UN Environment) linakadiria kuwa ifikapo More...

By Mtanzania Digital On Friday, June 8th, 2018
Maoni 0

SERIKALI KUIRUDISHIA RUZUKU CCBRT

NA VERONICA ROMWALD  – DAR ES SALAAM SERIKALI   inakusudia kukaa mezani na uongozi wa Hospitali ya CCBRT kujadili kwa kina ili ianze tena kuipatia ruzuku kama ilivyokuwa awali. Hayo yalielezwa   na More...

By Mtanzania Digital On Friday, June 8th, 2018
Maoni 0

NYONGEZA YA MISHAHARA KUTOLEWA KIMYA KIMYA

Na ELIZABETH HOMBO – DODOMA WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema kutangaza nyongeza ya mishahara ya watumishi wa umma hadharani, kuna athari zake kwa sababu kutaongeza mfumuko wa bei. Amesema Serikali itaendelea More...

By Mtanzania Digital On Friday, June 8th, 2018
Maoni 0

SIMULIZI YA KUHUZUNISHA ALIYEJIFUNGUA AKIWA POLISI

Na Ashura Kazinja – KILOMBERO MWANAMKE mmoja mkazi wa Kijiji cha Mgudeni, Tarafa ya Mang’ula, Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, Amina Mbunda (26), amelazimika kujifungulia kituo cha polisi baada ya More...