SAA 3 TATU NGUMU KWA MAKONDA

NORA DAMIAN-DAR ES SALAAM MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amehojiwa na Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa saa tatu kuhusiana na tuhuma zinazomkabili. Makonda anatuhumiwa kuingilia haki, uhuru na madaraka ya Bunge. Taarifa zilizotolewa na Ofisi ya Bunge jana, zilisema Makonda aliwasili bungeni  Dodoma More...

by Mtanzania Digital | Published 8 mins ago
By Mtanzania Digital On Wednesday, March 29th, 2017
Maoni 0

BAJETI 2017/2018: NI BAJETI YA UJENZI

Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, amesoma mbele ya wabunge, ukomo wa bajeti ya mwaka wa fedha wa 2017/18 ya Sh trilioni 31.69, ambayo miradi mingi ya kipaumbele itakayotekelezwa More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, March 28th, 2017
Maoni 0

NEY WA MITEGO AMGUSA JPM

Na RAMADHAN HASSAN – DODOMA RAIS Dk. John Magufuli, ameliagiza Jeshi la Polisi kumwachia huru msanii wa muziki wa kizazi kipya, Elibariki Emmanuel, maarufu Ney wa Mitego, ambaye alikamatwa na jeshi More...

By Mtanzania Digital On Sunday, March 26th, 2017
Maoni 0

NYUMA YA PAZIA KILICHOMKUTA NAPE

Na WAANDISHI WETU, KUONDOLEWA kwa Nape Nnauye katika wadhifa wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kisha saa chache baadaye kutishiwa bastola wakati akielekea kuzungumza na waandishi wa habari, More...

By Mtanzania Digital On Saturday, March 25th, 2017
Maoni 0

ONYO KALI

NA AZIZA MASOUD -DAR ES SALAAM RAIS Dk. John Magufuli ametoa onyo kwa wamiliki wa vyombo vya habari kwa kile alichosema wanatoa kipaumbele kwa habari zenye nia ovu na kuacha zenye masilahi na taifa. Dk. More...

By Mtanzania Digital On Friday, March 24th, 2017
Maoni 0

HATA NAPE!

Na Waandishi Wetu – Dar es Salaam HATA Nape! Ndio mshangao ambao mtu anaweza kuupata, baada ya jana aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, kutolewa bastola na mtu anayedhaniwa More...

By Mtanzania Digital On Thursday, March 23rd, 2017
Maoni 0

KAMATI YAELEZA JINSI MAKONDA ALIVYOTISHIA WATANGAZAJI

Na ELIZABETH HOMBO-DAR ES SALAAM KAMATI ya muda iliyoundwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, kuchunguza tukio lililodaiwa kufanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda More...

By Mtanzania Digital On Wednesday, March 22nd, 2017
Maoni 0

MAKONDA AMULIKWA KILA KONA

*TLS, LHRC waeleza alivyotenda kosa la jinai *Sumaye asema hafai kuongoza Dar NORA DAMIAN Na ASHA BANI -DAR ES SALAAM MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameendelea kulaaniwa na wadau mbalimbali More...

By Mtanzania Digital On Tuesday, March 21st, 2017
Maoni 0

‘KUTEKWA’ KWA CLOUDS MEDIA MAZITO YAIBUKA

NA EVANS MAGEGE, NI mtikisiko. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya tukio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ‘kuteka’ Kituo cha Televisheni cha Clouds ambapo viongozi wa Serikali, wadau More...

By Mtanzania Digital On Monday, March 20th, 2017
Maoni 0

MAKONDA ‘ATEKA’ KITUO CHA CLOUDS MEDIA

*Aingia studio na polisi, maofisa wa idara nyeti wenye silaha nzito *Hofu yatawala, Nape, Bashe, Lissu, Mbowe watoa neno Na ASHA BANI MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anadaiwa ‘kuteka’ More...