24.6 C
Dar es Salaam
Monday, October 14, 2024

Contact us: [email protected]

ZARI AMTEMA DIAMOND, DJ KHALED AM-FOLLOW INSTAGRAM

WAKATI sakata la Diamond Platnumz kuchepuka na kuzaa nje ya uhusiano wake imara na Zari The Boss Lady likiendelea hadi mrembo huyo kumwondoa kwenye orodha ya marafiki anaowafuata kwenye mtandao wa Instagram, msanii wa Marekani, Dj Khaled ame-follow Diamond mara baada ya kusaini mkataba wa kutangaza mvinyo ya kifaransa ya Luc Belaire.

Diamond amepata dili la kutangaza Luc Belaire na kuungana na mastaa wakubwa duniani kama Dj Khaled, French Montana na Rick Ross ambaye ameiweka picha ya staa huyo kwenye ukursa wake wa Instagram.

 

 

 

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles