23.8 C
Dar es Salaam
Tuesday, October 26, 2021

Yanga yamfariji Metacha

Na Winfrida Mtoi, Dar es Salaam

Uongozi wa Klabu ya Yanga, umetuma salamu za rambirambi kwa kipa wao, Metacha Mnata kwa kufiwa na mtoto wake anayeitwa Brighton Metacha mwenye umri wa miezi nane.

“Kwa niaba ya wanachama, wapenzi na mashabiki wa Klabu ya Yanga, uongozi unatoa pole kwa familia ya Metacha, ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huo na sote tuungane kwa pamoja kumfariji mchezaji wetu katika kipindi hiki kigumu,” taarifa ya Yanga.

Mtoto wa Metacha alifariki jana usiku katika hospitali ya Rabinisia, Dar es Salaam.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
163,190FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles