Tshabalala: Ishu ya ubingwa kila mtu acheze mechi zake

0
443

Na Winfrida Mtoi, Dar es Salaam

Nahodha Msaidizi wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, amesema suala la ubingwa kwanza kila mtu mechi zake zilizobaki ndio itajulikana nani atachukua taji hilo.

Tshabalala amesema wao kama wachezaji malengo yao ni kuhakikisha wanachukua pointi tatu za kila mechi wanayocheza ili kuwafikisha kule wanapotaka.

“Kwenye suala la ubingwa naweza kusema kila mtu anatakiwa acheze mechi, ukiangalia sana mwenzako anafanya nini unaweza ukapotea,” amesema Tshabalala.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here