28.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, June 6, 2023

Contact us: [email protected]

Simba yaivimbia Mtibwa Sugar

Na Winfrida Mtoi, Dar es Salaam

Kocha Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola, amakiri kuwa Mtibwa Sugar imekuwa ikiwasumbua lakini safari hii wamejipanga kukabiliana nao ili kuibuka na ushindi kesho

Akizungumzia maandalizi ya mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania utakaochezwa Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, amesema kwa sasa nguvu zao wanaelekeza Ligi Kuu.
“Mchezo wetu wa kesho dhidi ya Mtibwa Sugar utakuwa mgumu kwa kuwa tunacheza na timu inayotusumbua mara nyingi, ila tumejiandaa,.

Tumetimiza kile tulichokihitaji Kimataifa, nguvu zetu sasa tunaelekeza Ligi Kuu kwa sababu huwezi kushiriki Ligi ya Mabingwa bila kufanya vizuri Ligi Kuu, “amesema Matola.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,307FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles