24.2 C
Dar es Salaam
Monday, May 6, 2024

Contact us: [email protected]

WIZKID AINGIA KWENYE KITABU CHA GUINNESS

LAGOS, NIGERIA


MKALI wa muziki nchini Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’, amekuwa msanii wa kwanza wa muziki wa Afro-pop kuingia kwenye kitabu cha historia duniani cha The Guinness.

Msanii huyo ametajwa kuwa wa kwanza kuingia kwenye kitabu hicho kutokana na wimbo wake wa ‘One Dance’ aliomshirikisha rapa Drake kutoka nchini Marekani, kufanya vizuri mataifa mbalimbali.

Wimbo huo umetajwa kuongozwa kwa kupigwa kwenye Spotify, hivyo kwenye orodha mpya ya wasanii walioingia kwenye toleo jipya la The Guinness la 2018, Wizkid ametajwa kuwa miongoni mwao.

Hata hivyo, kupitia ukurasa wake wa Instagram, amewashukuru mashabiki wake kwa kumpa sapoti na amedai ataendelea kutoa ngoma kali zenye ubora ili kuzidi kuwapa furaha.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles