26 C
Dar es Salaam
Monday, January 17, 2022

UTPC yaadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Daudi Mwangosi

Marehemu Daudi Mwangosi
Marehemu Daudi Mwangosi

Muungano wa Vilabu vya Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC),umeadhimisha kumbukumbu ya miaka minne ya kifo  cha mwandishi wa habari Daudi Mwangosi.

Katika maadhimisho hayo, Makamu wa Rais wa UTPC, Jane Mihanji alilaani vitendo vya kuwapiga, kuwanyanyasa, kuwaharibia vifaa vya kazi na kuwaua waandishi wa habari kwa kuwa vinaminya uhuru wa habari nchini.

Naye Mkurugenzi wa UTPC, Aboubakar Karsan, aliwataka waandishi wa habari kujiunga na vilabu vya waandishi wa bahari nchini   viwasaidie   wanapopata matatizo wakiwa kazini.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
174,717FollowersFollow
531,000SubscribersSubscribe

Latest Articles