27.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, February 8, 2023

Contact us: [email protected]

Sun Kika aichambua ‘Bitu Biko’

DALLAS, MAREKANI

MWIMBAJI wa Injili anayekuja kwa kasi kutoka nchini Marekani, Sun Kika, amesema wimbo, Bitu Biko umebeba historia ya maisha yake na jinsi Mungu alivyomfanya awe na heshima.

Sun Kika, ameliambia MTANZANIA jana kuwa kila mtu ana simulizi ya maisha yake ila yeye kupitia wimbo Bitu Biko amewasemea ambao waliwahi kuumizwa na watu waliowaamini.

“Wengine tumekabiliwa na kukataliwa, kutelekezwa, kusalitiwa na kukatishwa tamaa na watu tuliowapenda, kila wakati tunapowatazama watu kupata furaha au amani, wanatukatisha tamaa muhimu ni kumgeukia Mungu ambaye yeye habadiliki na upendo wake hauna masharti,” alisema Sun Kika.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,871FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles