33.2 C
Dar es Salaam
Sunday, September 19, 2021

‘E.V.A’ ya Deling K yatua Afrika

NA CHRISTOPHER MSEKENA

KUTOKA pande za Marseille nchini Ufaransa, mwanamuziki anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa R’n’B, Deling K, amewahukuru mashabiki zake wa Afrika kwa kuipokea video ya wimbo, E.V.A.

Akizungumza na MTANZANIA, Deling alisema tarayi ngoma hiyo imepokewa na mashabiki wengi wa Afrika Mashariki (East Africa) licha ya kuwa ndani ameimba kwa lugha ya Kifaransa.

“Nipo hapa Ufaransa ila nimeamini nina mashabiki wengi hapo Afrika hasa Tanzania, maana video ya E.V.A imepokelewa vizuri na tayari imeanza kuchezwa kwenye redio na Tv za hapo pia inapatikana kwa urahisi kwenye chaneli yangu ya YouTube,” alisema Deling K mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
156,882FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles