23.6 C
Dar es Salaam
Friday, April 26, 2024

Contact us: [email protected]

SERIKALI YAFUTA USAJILI WA POMBE ZA VIROBA

Serikali imefuta usajili na utoaji vibali vya uzalishaji, uingizwaji, usambazaji na uuzwaji wa pombe kali iliyofungashwa katika karatasi maarufu kiroba, na pombe zilizofungashwa katika chupa ndogo zenye ujazo chini ya mililita 200 kuanzia Machi Mosi, mwaka huu.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema hayo Dar es Salaam leo katika Mkutano wake na waandishi wa habari.

"Kwa viroba ambavyo tumevikamata tunasubiri maelekezo toka ofisi ya waziri mkuu iwapo viharibiwe au virudishwe viwandani vikafungashwe katika vifungashio vinavyokubalika kitaifa                 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles