25.6 C
Dar es Salaam
Monday, October 25, 2021

MADAKTARI TANZANIA WAOMBA AJIRA KENYA

Madaktari 159 nchini wamejitokeza kuomba ajira Kenya, Serikali imesema wasiwe na wasiwasi kwani Rais Uhuru Kenyatta ambaye ni mwenyeji wao amewahakikishia kuhusu suala la usalama wao.

Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

"Hii ni fursa tusiiachie, Rais John Magufuli na mwenzake Uhuru Kenyata wamekubaliana na, Rais Magufuli hawezi kupeleka wananchi wake mahali ambapo hakuna usalama.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
163,173FollowersFollow
522,000SubscribersSubscribe

Latest Articles