30.2 C
Dar es Salaam
Thursday, September 23, 2021

Ronaldo: Rekodi zinanifuata zenyewe

Hassan Daudi na Mitandao

Staa wa Juventus, Cristiano Ronaldo, amesema hachezi kufukuzia rekodi, bali huwa zinamfuata zenye
Msimu huu uliomalizika hivi karibuni, alinyakua tuzo ya mfungaji bora Serie A kwa mabao yake 29 akiwa na Juventus.

Kwa kufanya hivyo, Ronaldo ameandika historia ya kuwa mchezaji pekee kuwahi kuwa mfungaji bora England, La Liga na Serie A.

“Nimeshawahi kusema, huwa zifukuzii rekodi, ni rekodi ndizo zinazonifukuzia…” amesema nahodha huyo wa timu ya taifa ya Ureno.

Aidha, alifichua siri ya mafanikio yake uwanjani akisema inatokana na njaa ya mafanikio aliyonayo.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
157,796FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles