27.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, March 21, 2023

Contact us: [email protected]

Shaw: United inahitaji majembe mapya

Manchester, Uingereza

Beki wa kushoto wa Manchester United, Luke Shaw, amesema kikosi hicho kinahitaji nguvu ya wachezaji wapya wenye majina ili kuleta ushindani kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu msimu ujao.

Man United wamemaliza msimu huu wakiwa nafasi ya pili kwenye msimamo na waliachwa pointi 12 na mabingwa wa safari hii, Manchester City.

Kwa sasa klabu hiyo imeendelea kuhusishwa na Harry Kane na Jadon Sancho na leo itakwaana na Villarreal katika fainali ya Ligi ya Europa.

“Kwa kikosi tulichonacho, kimejaa vipaji. Tuna mchanganyiko wa wazoefu na vijana…
“Kocha alisema anaongeza wapya wawili au moja. Nafikiri tunawakaribisha kwa mikono miwili,”amesema Shaw.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
210,784FollowersFollow
563,000SubscribersSubscribe

Latest Articles