19.2 C
Dar es Salaam
Sunday, October 2, 2022

RC Morogoro atembelea Banda la TAWA

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Fatma Abubakar Mwasa leo Jumamosi Agosti 20, 2022 ametembelea banda la TAWA katika viwanja vya Gymkhana mkoani Morogoro ambako Mbio za riadha za ‘Selous Marathon’ zimefanyika.

Akiwa katika banda la TAWA, Mwasa amepata maelezo mafupi kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na TAWA.

Ikumbukwe kuwa TAWA imetumia mbio riadha za ‘Selous Marathon’ kutangaza vivutio vya utalii vinavyopatikana katika Pori la Akiba la Selous lililopo mikoa ya Lindi na Pwani.

Pia Pori la Akiba Pande lililopo jijini Dar es Salaam na Pori la Akiba Wamimbiki lililopo mkoani Morogoro.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,459FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles