25.2 C
Dar es Salaam
Monday, September 20, 2021

Rais Ufilipino afariki dunia

Manila, Ufilipino

Aliyekuwa Rais wa Ufilipino, Benigno Aquino, amefariki akiwa hospitali alikokuwa akiendelea na matibabu ya kisukari. Aquino aliiongoza nchi hiyo kwa miaka sita (2010 – 2016) na itakumbukwa kuwa alikuwa akitibiwa jijini Manila.

Aliyetoa taarifa hiyo kwa niaba ya familia ya mwanasiasa huyo ni mmoja kati ya dada zake wanne, Pinky Aquino Abellada.

Kupitia kwa Makamu wa Rais, Leni Robredo, Ikulu ya Ufilipino nayo imeeleza kusikitishwa kwake na kifo cha mwanasiasa huyo. “Alijaribu kufanya kila kilicho sahihi, hata pale alipoondoka madarakani,” amesema Robredo.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
157,123FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles