26.9 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 6, 2023

Contact us: [email protected]

Promota Bonga kukutanisha wakongwe ufukweni

IMG-20150110-WA0004 (1)NA THERESIA GASPER

WASANII wakongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini wanatarajia kutoa burudani kwenye onyesho maalumu la miaka 25 ya promota wa muziki huo, Majid Bonga ‘Promota Bonga’ linalotarajiwa kufanyika kwenye fukwe za bahari za Sunrise, Kigamboni, Dar es Salaam.

Onyesho hilo litakalofanyika Machi 26, litapambwa na michezo ya soka la ufukweni na wavu.

Promota Bonga aliwataja baadhi ya wasanii ambao wataburudisha kuwa ni Juma Nature, Dully Sykes na Afande Sele.

“Tunataka kufanya onyesho litakalobamba ambapo pia tutawaunga mkono wasanii wanaochipukia katika muziki huu wa kizazi kipya ili wapate sapoti kutoka kwetu, kwani baadhi yao wamekosa nafasi kutoka kwa wasanii wenye majina makubwa,” alisema.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
580,000SubscribersSubscribe

Latest Articles