27.9 C
Dar es Salaam
Monday, June 24, 2024

Contact us: [email protected]

Avril afiwa na baba yake

AvrilMSANII wa muziki na filamu nchini Kenya, Avril Nyambura, amefiwa na baba yake mzazi kutokana na mshituko wa moyo.
Mzee Nyambura alipoteza maisha juzi huku akiwa nyumbani kwake jijini Nairobi, lakini wiki iliopita mzee huyo alipelekwa hospitalini kwa ajili ya matibabu na hali yake iliendelea vizuri, kisha kurudishwa nyumbani kwao ambako alikutwa na mauti.

Kupitia akaunti ya Instagram, msanii huyo aliweka picha ya baba yake huyo na kumtakia mapumziko ya amani na kuwashukuru waliomsaidia kipindi chote cha majonzi.

“Leo ni siku ya kukumbukwa kwa kiasi kikubwa, nimempoteza baba yangu kipenzi, najua wengi tulimpenda lakini Mungu amempenda zaidi, pumzika kwa amani baba,” aliandika Avri

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles