22.5 C
Dar es Salaam
Saturday, June 22, 2024

Contact us: [email protected]

JB kutumia zaidi ya milioni 500 kuandaa tamthilia

jacob-steven-jbNA GEORGE KAYALA

TAMASHA kubwa la kuibua waimbaji wa nyimbo za injili limepangwa kufanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.

Mkurugenzi Mtendaji wa tamasha hilo, Fabian Fanuel, alisema tamasha hilo pia litatumika kupinga mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi.

“Tamasha hilo litaanza Mwanza, kisha mikoa mingine ya Kanda ya Ziwa, lengo likiwa ni kupinga mauaji ya albino,
lakini pia kuibua na kukuza vipaji vipya vya waimbaji wa nyimbo za injili,” alisema Fanuel.

Katika tamasha hilo, waimbaji maarufu wa muziki wa injili wataongozwa na Flora Mbasha. Tamasha la kuibua vipaji kufanyika Mwanza

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles