32.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, February 1, 2023

Contact us: [email protected]

Prezzo kwenye penzi jipya na mtangazaji

prezzoNAIROBI, KENYA

BAADA ya mkali wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘CMB Prezzo’ kwenda kupima HIV na kuweka majibu yake hadharani, msanii huyo kwa sasa anadaiwa kutoka na Betty Kyallo.

Awali Betty alifunga ndoa na Dennis Okari, lakini wiki chache zilizopita mrembo huyo aliachana na mume wake huyo.
Hata hivyo, wiki zilizopita Prezzo alionesha utovu wa nidhamu kwa mrembo huyo ambaye ni mtangazaji wa runinga wa KTN, lakini kwa sasa inadaiwa kuwa wawili hao ni wapenzi.

“Watu wa ndoa wanaweza kuachana, hivyo ndivyo ilivyo tokea na mume wangu, kwa sasa nataka kila mmoja ajue kwamba Prezzo ndio mpenzi wangu mpya, hakuna haja ya maswali,” aliandika Betty kwenye akaunti yake ya Instagram.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,471FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles