30.4 C
Dar es Salaam
Friday, September 24, 2021

Poa Man kuwapa vocha mashabiki

NA CHRISTOPHER MSEKENA

BAADA ya kufanya vizuri na wimbo, Nawatamani aliomshirikisha Nay wa Mitego, msanii wa kizazi kipya anayeishi Marekani, Poa Man, ameibuka kivingine kwa kuwapa zawadi ya vocha mashabiki wake.

Akizungumza na Papaso la Burudani jana kuwa ameamua kufanya hivyo kama shukurani kwa mashabiki ambao wamekuwa wakimpa sapoti tangu anaanza muziki.

“Naamini nina mashabiki wengi hapo Tanzania, nimeamua kurudisha kwao. Kuanzia leo usiku saa 2 hadi saa 4 kamili usiku tembelea ukurasa wangu wa Instagram wa @poaman_official utapata vocha bure za mitandao yote na nitafanya hivyo mwa mwezi mzima, nitatuma namba za vocha cha kufanya ni wewe kuwahi kuingiza hizo namba,” alisema Poa Man.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
157,873FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles