32.2 C
Dar es Salaam
Friday, May 17, 2024

Contact us: [email protected]

Matukio kwa Picha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA nje ya ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya Aprili 29, 2024. IDA ni Mfuko Maalum wa Benki ya Dunia ambao unatoa mikopo nafuu na misaada kwa nchi zinazoendelea.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) jijini Nairobi nchini Kenya leo Aprili 29, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akifuatilia hutoba zilizokuwa zinawasilishwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi nchini Kenya leo Aprili 29, 2024.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles