23.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, April 16, 2024

Contact us: [email protected]

Picha: NMB yazindua mikopo ya riba nafuu katika sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa mikopo ya riba nafuu kwa wateja katika sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi ambapo zaidi ya Sh Bilioni 100 zimetengwa kwa ajili ya mikopo hiyo.

Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es salaam jana. Kulia niĀ Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Filbert Mponzi na kushoto ni Mkuu wa Idara ya Kilimo Biashara, Isaac Masusu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles