31.2 C
Dar es Salaam
Saturday, April 27, 2024

Contact us: [email protected]

Picha| kutoka nyumbani kwa Hayati Edward Lowassa Monduli

atibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akiwafariji watoto wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha Februari 15, 2024.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wake, Anderson Mutatembwa katika Msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akizungumza na Makatibu Wakuu kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Ngoyai Lowassa, katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Rombo, Joseph Selasini kwenye msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa, katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles