25.2 C
Dar es Salaam
Thursday, December 8, 2022

Contact us: [email protected]

Patricia Hillary ataka wanawake waungwe mkono

Patricia HillaryNA MWANDISHI WETU
MWANAMUZIKI mkongwe, Patricia Hillary, amewataka wadau wa muziki na Watanzania kwa ujumla kuwaunga mkono wanawake wote wanapoelekea Siku ya Mwanamke Duniani.
Siku hiyo Patricia atashirikiana na wasanii wa Bongo Fleva, Elias Barnaba na Mc Pilipili kutumbuiza kwenye tamasha la kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani, litakalofanyika Machi 5 mwaka huu, katika Ukumbi wa King Solomon, jijini Dar es Salaam.
“Watu wote kwa ujumla wawaunge mkono wanawake kwa kuwa wanaweza na hasa siku hiyo ya wanawake duniani wadau mbalimbali na wote kwa ujumla tujitokeze kwa wingi kutuunga mkono,’’ alieleza Patricia.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
205,682FollowersFollow
558,000SubscribersSubscribe

Latest Articles