29.2 C
Dar es Salaam
Sunday, June 23, 2024

Contact us: [email protected]

Twanga Pepeta yajifua kwa uzinduzi

ally chokiNA MWALI IBRAHIM
BENDI ya muziki wa dansi nchini, The African Stars ‘Twanga Pepeta’, inatarajia kuingia kambini kujiandaa na onyesho maalumu la uzinduzi wa video za nyimbo mbili itakayofanyika hivi karibuni, jijini hapa.
Kiongozi wa bendi hiyo, Ally Choki, alisema kambi hiyo itadumu kwa wiki mbili ili wajifunze vitu vipya watakavyovionyesha mashabiki wao.
“Video tunazotarajia kuzizindua ni ‘Usiyaogope maisha’ na ‘Kichwa chini’, ambazo zote ni utunzi wangu na zipo kwenye albamu mpya tunayoiandaa kwa sasa,” alisema.
Alisema, tayari video hizo zimeshakamilika na kinachosubiriwa ni uzinduzi ambapo tutawafahamisha rasmi mashabiki wetu siku na mahali utakapofanyika.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles