29.4 C
Dar es Salaam
Sunday, October 13, 2024

Contact us: [email protected]

Mwasiti: Lady Jaydee ananivutia

MwasitiNA RHOBI CHACHA

MWASITI Almas kama anavyofahamika katika muziki wa Bongo Fleva, ameibuka na kudai kwamba anavutiwa zaidi na msanii mwenzake, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’.

Msanii huyo mwenye sauti nzuri katika nyimbo zake, alisema yeye ni msanii anayevutiwa na wasanii wanaojitambua na wanaofanya vema katika kazi zao za muziki, kama afanyavyo Jaydee ‘Binti Machozi’.
“Yaani mimi huwa sina choyo ya kusifia kama msanii mwenzangu anafanya vema namsifia, sijali nani atasema nini, napenda kazi za Lady Jaydee na kupitia muziki wake ndiyo maana nikahamasika kuingia katika muziki hadi sasa,’’ alieleza Mwasiti.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles