29.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, December 11, 2024

Contact us: [email protected]

Mshindi wa Milioni 20 na Meridianbet Anena Mbinu ya Ushindi!

Unapata furaha kiasi gani pale dakika moja tu inapotosha kubadilisha maisha kukufanya uwe tajiri kwa kuweka rehani pesa kidogo tu?Julius Joel, mkazi wa Dar es Salaam anakupa hadithi ya ushindi wake wa Milioni 20 kwa dau la buku tu.

Meridianbet ni kampuni kongwe zaidi Tanzania kwenye huduma za michezo ya kubashiri kuanzia dukani, mpaka mtandaoni. Wakitoa huduma za ubashiri wa michezo mbalimbali, ikijumuisha michezo ya soka, ndondi, virtual na kasino ikiwa ni baadhi.

Stori ya Joel, ni ya ushindi alioupata kwenye mchezo wa kasino ya mtandaoni ya Maridianbet, unaofahamika kama Aviator. Mchezo huu umekuwa maarufu kwa kutoa washindi, Meridianbet wakiwa wamewahi kugawa Iphone 11 kwa mshindi wa moja wa promosheni yao, na kwa sasa wakiwa wanaendelea na promosheni ya Samsung A32 na mvua za beti za bure.

Joel ni mmoja kati ya washindi wengi wa Meridianbet kwenye michezo ya Kasino, lakini yeye ni mshindi pekee, aliyeweza kupata ushindi mkubwa wa Aviator kwa dau la shilingi 1000 tu.

“Nilitambulishwa na ndugu yangu, huwa tunacheza na tukishinda tunagawana wote. Wakati huu nilikuwa na bahati zaidi, maana mimi nilikuwa nacheza zaidi dukani. Ndugu yangu akaniambia ninaweza kucheza mchezo rahisi zaidi wa Aviator.” – Julius Joel

Joel alianza safari yake ya ubashiri kwenye maduka ya Meridianbet, lakini uamuzi wake wa kuhamia mtandaoni ndiyo uliomtoa kimasomaso kwa ushindi wa Milioni 20. Ameelezea alivyojisikia baada ya kujua kuwa ameshinda.

“Nilishituka sana, na sikuamini juu ya ushindi. Nilimpigia ndugu yangu kuwa siamini kama nimeshinda ule mchezo wetu kwa kwa 1000 tu. Akaniambia una uhakika umeshinda? Nikamwambia nadhani nimeshinda kweli Milioni 20. Siku inayofuata nikamfuata na kumuonesha ushindi” – Julius Joel

Rafiki yake Joel naye anaamini kuwa hii ilikuwa bahati kwa kuwa Joel alikuwa ni mgeni kwenye huo mchezo, na yeye alikuwa mwalimu wake. Ushindi huo unampa hamasa yeye kuendelea kucheza, pia utamaduni wao wa kugawana utamnufaisha na yeye pia.

“Alinipigia simu akionekana kama amevurugwa kidogo, akaniambia ule mchezo wetu ule nimeshinda. Mimi ni mdau mkubwa wa Meridianbet, kwake mimi ni kama mwalimu. Nilifurahi sana kwa ushindi wake. Nashauri yeyote anaweza kujaribu bahati yake kupitia Meridiabet.” – Rafiki yake Joel, Musa James.

Unaweza kuanza safari yako, ukawa rubani wa Aviator na kujishinda pesa kibao pamoja na zawadi nyingine lukuki ikiwemo mizunguko ya bure, simu na pesa. Jisajili sasa na ufurahie kubeti na Meridianbet hapa www.meridianbet.co.tz au kupitia Application ya simu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles