Mkuu wa Wilaya ya Rorya atoa kauli Uchaguzi Serikali za Mitaa

0
586
MKUU wa Wilaya Rorya, Saimon Chacha

NA TIMOTHY ITEMBE-MARA

MKUU wa Wilaya Rorya, Saimon Chacha, ametoa onyo kai kwa wale watu watajaribu kuvuruga amani katika Uchagui wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 24.

Alitoa kauli hiyo jana kwenye kikao cha pamoja kilichukuwakimeandaliwa kutoa tangazo la uchaguzi huo wilyani hapo.

Chacha alisema maandalizi ya uchaguzi wa huo yaandelea vyema na kinachotakiwa ni jamiii na wasiamizi  kuzingatia sheria na kanuni pamoja na taratibu zilizopo kwani.

Kwa upande wake Msimamizi wa uchaguzi huo wilayani Rorya, Gabriel Njige, alisema anatarajia kuona uchaguzi unakuwa huru, haki na amani unatawaliwa na amani.

Kauli hiyo ameitoa jana kwenye kikao kilichowashirikisha viongozi ngazi ya vitongoji na vijiji na kata.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here