23.2 C
Dar es Salaam
Thursday, June 1, 2023

Contact us: [email protected]

Michezo Ya Olympics Olympics Imefikia Patamu!

Meridianbet Wanakupa Mchongo wa Ushindi!

Michuano ya Olympics bado inaendelea kutupa burudani katika viwanja vya jiji la Tokyo. Soka la wanawake na wanaume U23 linaendelea kuongoza burudani katika kumalizia hatua ya makundi ya michuano hii. Tunakuwekea mchongo wa ushindi wiki hii hapa;

Hispania wanatarajia kuwa vinara wa Kundi C wanapomalizia mechi ya mwisho ya hatua ya makundi dhidi ya Argentina Jumatano. Ushindi wa Argentina Meridianbet wanakupa odds ya 3.23.

Ivory Coast wanautafuta kwa hali na mali ushindi, baada ya kutoa sare mechi iliyopita, Wanakutana na Ujerumani kwenye Kundi D kukamilisha ratiba ya hatua ya makundi. Meridianbet wamekuwekea odds ya 3.33 kwa sare ya mechi hii.

South Africa wanavaana na Mexico katika mechi ya mwisho hatua ya makundi, timu zote bado zina nafasi ya kufuzu kuingia robo fainali. Muamini South Africa kwa odds 8.03 za ushindi toka Meridianbet.

Australia tayari wamejihakikishia kusonga hatua inayofuata, anakutana na Egypt Jumatano hii ambaye anahitaji zaidi ushindi na dua kusonga hatua ya robo fainali. Mpe ushindi Australia Meridianbet wanakuwekea odds ya 2.40.

Wenyeji Japan wanakutana na France baada ya kuanza vyena michuano ya Olympics katika mji wao mkuu, wakiwa wanasaka kumaliza vyema, Ufaransa nao wako makini kuwashangaza Jumatano hii. Meridianbet tunakupa oddsya 2.89 ushindi wa France.

Zaidi, kunako mechi za kufuzu Ligi ya Mabingwa tunakupa mchongo uchague uwanja wa kuchagua aina ya ushindi unaoutaka kutoka Meridianbet. Hapa pia kuna Europa Conference League nafasi zaidi ya kupiga pesa toka Meridianbet.

Mechi nyingine kibao za maandalizi ya msimu na mechi za kirafiki zinaendelea na kukupa uhakika wa kukusanya mkwanja wa kutosha wiki hii, ingia mchezoni hapa. Endelea kubashiri na Nyumba ya Mabingwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,226FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles