23.8 C
Dar es Salaam
Saturday, September 25, 2021

Menina apewa ubalozi wa vipodozi

JEREMIA ERNEST

Diva wa filamu nchini, Menina Abubakari leo Alhamisi Julai 23, amepata ubalozi wa vipodozi vyenye uwezo wa kupendezesha ngozi bila ya madhara.

Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam amesema vipodozi hivyo havina kemikali inayoharibu ngozi na kwamba vimethibitishwa na mamlaka husika.

“Ninafurahi kupata ubalozi wa bidhaa za vipodozi vya Wix kwa kuwa ni mafuta na sabuni ambazo hupendezesha ngozi nime jaribu kutumia na matokeo ni mazuri Kama mnavyoona ngozi yangu,” amesema Menina.

Kwa upande wake mmiliki wa kampuni ya Wix Director Joan amesema bidhaa hiyo inapatika katika maduka tofauti hapa nchini na gharama yake ni ya kawaida na kwamba inaweza kutumiwa na mtu yoyote.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
158,036FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles