Njalu Daudi awashukuru wajumbe waliompendekeza kura za maoni

0
271
Mgombea Ubunge jimbo la Itilima,Njalu Daudi

Mwandishi wetu

Aliyekuwa mbunge wa Itilima, Njalu Daudi amewashukuru wajumbe waliokuwa na imani naye na kumpendekeza tena katika kura za maoni kwa kishindo jimboni humo.

Itilima aliwashukuru wajumbe hao kwa kumpigia kura 521 huku aliyefuata 92 na watatu kura saba huku akiwataka kuendelea kumuombea mpaka hatua ya mwisho ili aweze kuendelea kuwawakilisha vyema.

Katika kinyang’anyiro hiko wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo walimpa Njalu Daudi 521, Simoni ngagani 92, Magembe cheyo kapata kura saba.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here