23 C
Dar es Salaam
Friday, June 2, 2023

Contact us: [email protected]

Mechi kali za EPL, SERIE A na LALIGA kupigwa wiki hii

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

Mechi za kukata na shoka za ligi mbalimbali kuchezwa wiki hii, timu nyingi zikielekea kujua hatima za ubingwa na ama kucheza Europa League kufuatia ligi zote kuelekea ukingoni. Meridianbet imekuandalia Odds bomba sana, bashiri sasa!

Katika EPL Jumanne hii, Leicester City watakuwa ugenini kucheza na Manchester United ambao wanajaribu kuzuia mbio za Ubingwa za Man City. Leicester City anapambana nafasi ya 3 isiote nyasi wakati huu ambao Chelsea wanakuja kwa kasi na wameshawapiku katika nafasi hiyo, hakika dakika 90 zitakuwa za muhimu kwa vilabu vyote. Chagua kubashiri na Meridianbet, tumekuwekea Odds ya 2.74 kwa Leicester City kwa ajili yako.

Kunako La Liga, Levante watakuwa wenyeji wa Barcelona ambao wanapambana kutwaa taji la La Liga msimu huu sambamba na Atletico Madrid na Real Madrid.Barca anaingia kwenye mchezo huu akitoka kutoa suluhu na Atletico Madrid na hivyo aliikosa nafasi ya kuongoza msimamo wa LaLiga. Meridianbet imekuandalia Odds ya 1.22 kwa Barcelona.

Serie A Jumatano hii, Mabingwa Inter Milan watakuwa nyumbani kuwakaribisha As Roma wanaotafuta nafasi ya kucheza Europa League msimu ujao. Inter wameshawatoa umaarufu Juventus na hivyo wanakamilisha tu ratiba ya Serie A msimu huu. Ukibashiri na Meridianbet, utakuta Odds ya 1.71 kwa Inter.

Katika EPL Jumatano hii kutakuwa na London Derby, Chelsea watawaalika washika bunduki, Arsenal, pale Stamford Bridge. Arsenal wanapambana kutafuta nafasi ya kucheza Europa League msimu ujao, Chelsea anahitaji kujihakikishia nafasi ya kubaki Top 4 msimu huu. Ukichagua Meridianbet utakuta Odds kubwa ya 1.71 kwa Chelsea.

Alhamisi hii kwenye La Liga, Vijana wa Zidane, Real Madrid nao watakuwa kibaruani kucheza na Granada katika mbio za kutetea ubingwa wa La Liga msimu huu, hawana nafasi ya kubeba taji lolote zaidi ya LaLiga msimu huu, wataweza? Real Madrid wamewekewa Odds ya 1.46 na Meridianbet.

Na katika EPL, Manchester United watashuka dimbani kwa mara nyingine kuwakabili Liverpool ambao wanahitaji miujiza kurudi Top 4. Huu ni mchezo ambao ulighairishwa baada ya mashabiki wa United kuingia uwanjani wakiandamana dhidi ya uongozi wa klabu hiyo. Odds ya 2.25 inakusubiri kwa upande wa Liverpool ukibashiri na Meridiabet.

- Advertisement -

Related Articles

2 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,250FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles