22.2 C
Dar es Salaam
Monday, October 14, 2024

Contact us: [email protected]

MBUNGE WA MBINGA ADAI WIMBO WA TAIFA UMECHAKACHULIWA

Na Fredy Azzah, Dodoma

Mbunge Jimbo la Mbinga (CCM), Sixtus Mapunda, amesema wimbo ulioimbwa bungeni leo wakati wa kufungua mkutano wa 11 siyo ule rasmi.

Akiomba mwongozo wa Spika, Mapunda amesema wimbo huo una makosa mengi kuanzia kwenye ala, mdundo na maneno na kwamba wimbo wa taifa unaoimbwa bungeni unatofautiana na ule unaoimbwa kwenye maeneo mengine ikiwamo kwenye shughuli muhimu ambapo alisisitiza wimbo huo si ule uliothibitishwa na mamlaka husika.

Dk. Tulia, akijibu mwongozo huo amesema anahitaji muda akasikilize tena wimbo huo ili abaini tofauti hizo alizoziainisha mbunge huyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles