Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga kura wakati wa zoezi la kuchagua viongozi Mbalimbali wa timu ya Bunge Sports Club leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma, kushoto ni Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson.
Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson akiongoza zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi Mbalimbali wa timu ya Bunge Sports Club leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Mbunge wa Kasulu Vijijini, Vuma Augustino akiomba kura kwa nafasi ya Mwenyekiti wa timu ya Bunge Sports Club leo katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Wakati wa zoezi la kuchagua viongozi Mbalimbali wa timu ya Bunge Sports Club.