28.2 C
Dar es Salaam
Saturday, October 12, 2024

Contact us: [email protected]

Masha atoa neno ndege za Fastjet kuzuiwa

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM

MWENYEKITI Mtendaji wa Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania, Lawrance Masha, amevunja ukimya na kueleza jinsi Serikali ilivyomzuia kuingiza ndege nchini.

Pamoja na hali hiyo alisema Dar es Salaam jana kuwa bado ana matumaini kwamba baada ya kumalizika kwa Sikukuu ya Krismasi huenda mambo yakawa sawa.

Masha alisema bado kwa sasa wana subira na imani na Serikali kuwa italiweka jambo hilo sawa ili kuruhusu biashara za shirika hilo ziweze kuendelea nchini.

“Nina matumaini baada ya kumalizika kwa Sikukuu ya Krismasi huenda mambo yakawa mazuri,” alisema.

Licha ya hali hiyo, Masha alisema Serikali haimpi …

Kwa habari kamili jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles