MAGUFULI ATIA SAINI SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI YA MWAKA   2016

0
1073

rais-john-pombe-magufuliRais John Pombe Magufuli ametia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 iliyopitishwa na Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mktano wa tano mijiji Dodoma.

Rais Magufuli ametia saini sheria hiyo tarehe 11 Novemba 2016 huku akiwapongeza wadau wote kwa kufanikisha kutungwa kwa Sheria hiyo.

Rais Magugufuli amesema kuwa anaamini Sheria hiyo itasaidia kuboresha sekta ya habari kwa manufaa ya wanataalima wenyewe na Taifa .

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here