28.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, June 6, 2023

Contact us: [email protected]

LULU DIVA AJIVUNIA USHAURI WA MASHABIKI

NA GLORY MLAY-DAR ES SALAAM


MSANII wa muziki anayefanya vizuri kwa sasa nchini, Lulu Abbas maarufu kama Lulu Diva, amesema nyimbo zake zinafanya vizuri kutokana na kujiongeza kwa kupokea ushauri wa wadau na mashabiki zake.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Lulu Diva, alisema kitu chochote hakiwezi kwenda bila kupokea ushauri, hivyo amejiongezea maarifa kwa kupitia wadau na mashabiki mbalimbali.

“Mafanikio yanakuja pale unapokubali kushauriwa, napenda kupokea ushauri kutoka kwa mashabiki na wadau mbalimbali kwani ushauri mwingine unanijenga na kunifanya nipige hatua,” alisema Lulu Diva.

Aliongeza kuwa nia na kiu yake siku moja kutimiza ndoto zake kwani anaamini uwezo anao wa kufika hatua ya kimataifa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,307FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles