33.2 C
Dar es Salaam
Sunday, September 19, 2021

Lori la mafuta lalipuka Nigeria

-Nigeria

Katibu mtendaji wa shirikia la kusimamia matukio ya dharura Jimbo la Benue Nchini Nigeria, Emmanuel Shior ametoa ripoti ya vifo vya watu 7 na uhalibifu wa nyumba 50 vilivyosababishwa na mlipuko wa lori la mafuta nchini humo.

Katibu Shior amesema ajali zinazotokana na milipuko ya magari ya mafuta ni kawaida nchini Nigeria ikifuatiwa na hali mbaya ya barabara inaelezwa ndio sababu hasa ya kutokea matukio hayo.

Mwezi Julai 2019, watu wasiopungua 45 walipoteza maisha na wengine zaidi ya 100 walijeruhiwa katika eneo hilo hilo wakati gari la mafuta lilipopata ajali barabarani na kulipuka wakati watu walipokuwa wakichota mafuta.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
156,882FollowersFollow
518,000SubscribersSubscribe

Latest Articles