25.3 C
Dar es Salaam
Thursday, December 2, 2021

Linex Mjeda ahofia kuwa baba wa kambo

LinexMSANII wa Bongo Fleva, Linex Mjeda baada ya kukosa mchumba kwa muda mrefu amehofia kuwa baba wa kambo kutokana na kukutana na wasichana wenye ujauzito mara kwa mara kama alivyoandika kwenye ukurasa wake wa Instagram.

“Nina mashaka na mpango wa Mungu, jua linawaka linazama sipati mchumba lakini kila nikijaribu kurusha kete yangu sehemu nakuta mtoto wa watu siku nyingi tayari ana ujauzito alafu hayupo sawa na jamaa aliyempa huo ujauzito, sasa hii maana yake nini jamani? Nauona kabisa ubaba wa kambo au kufikia unaninyemelea.”

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,640FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles