24 C
Dar es Salaam
Friday, April 26, 2024

Contact us: [email protected]

KUSHUKA UFANISI SHULE ZA MSINGI: ZITTO, SERIKALI WALIANZISHA TENA

ELIZABETH HOMBO NA ANDREW MSECHU


WAKATI Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo),  akiibua ripoti aliyodai uwezo na  ufanisi wa wanafunzi wa darasa la pili nchini umeshuka kwa asilimia 46, Serikali imekanusha ikisema takwimu hizo si sahihi.

Jana, Zitto alisema  ripoti hiyo iliyopewa jina  la ‘Ripoti ya Ufanisi katika Sekta ya Elimu (AJESPR)’ ya mwaka 2017/18,   inaonyesha idadi ya wanafunzi wa darasa la pili nchini wenye uwezo wa kusoma kwa ufanisi, imeshuka kutoka asilimia 12, mwaka 2015 hadi asilimia 5.4, mwaka 2017.

Kwa mujibu wa mtaala wa elimu, wanafunzi wa darasa la pili wanalazimika kusoma masomo matatu ya msingi ambayo ni Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK).

Wakati Zitto, akisema hayo Serikali kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo, imesema haizitambui takwimu hizo.

Kwa habari zaidi jipatie nakala yako ya gazeti la MTANZANIA.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles