Kocha England kutimkia Bundesliga

0
213

MKUU wa benchi la ufundi la Norwich City, Daniel Farke, anawindwa na klabu mbili za Ligi Kuu ya Bundesliga.

Eintracht Frankfurt na Wolfsburg zinamtaka kocha huyo anayefanya vizuri Ligi Daraja la Kwanza England (Championship).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here