Brandt, Odegaard kupishana Emirates

0
236

ARSENAL wamepanga kumsajili kiungo wa Borussia Dortmund na timu ya taifa ya Uerumani, Julian Brandt.

Hiyo ni endapo Arsenal watashindwa kumbakiza mchezaji wao wa mkopo kutoka Real Madrid, Martin Odegaard.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here