29.7 C
Dar es Salaam
Monday, October 2, 2023

Contact us: [email protected]

Knotless msuko uliopo kwenye chati

Na Salome Bruno, Tudarco

Kusuka ni moja ya mitindo ya nywele inayopendwa na akina dada kwa sasa. Zipo aina nyingi za mitindo ya nywele lakini iliyopo katika chati kwa sasa ni ‘Knotless’.

Aina hii ya mitindo husukwa kuanzia chini, kwa aina tofauti tofauti zinaweza kusukwa kama ‘box braids’ au vinyotanyota kulingana na mahitaji ya mteja.

 Kwa nini Knotless?

Mtindo huu umetokea kupendwa, hasa na wasichana kwa sababu una faida nyingi ikiwamo kuruhusu hewa kuingia kwenye ngozi.

Kingine ni mywele nyepesi na rahisi,unaweza kuzibana kwa namna yoyote ile unayoipenda, hazina vifundo zinatumia rasta chache pia ukisuka inakupa muonekano wa kiasili zaidi.

Kasoro zake

Hakuna kitu kisichokosa kasoro, licha ya kupendeza lakini pia ni lazima utumie gharama kubwa  hasa kutumia muda  mrefu.

Pia huwezi kukaa nazo kwa muda mrefu, kawaidi ni wiki tatu kwa wale wenye nywele za asili, lakini zenye dawa unaweza kuka hadi miezi miwili.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
575,000SubscribersSubscribe

Latest Articles